Kumbukumbu yangu ya Hong Kong

Mji mkuu wa Kenya, Nairobi una sifa ya kuwa kati ya miji michangamfu sana duniani na baada ya kukaa hapa kwa muda, nimepatana na watu aina mbali mbali ambao wameonyesha hamu ya kuelewa hali na maisha ya nitokako. Hata hivyo hivi karibuni, wengi wamekuwa na maswali chungu nzima kuhusu matukio yanayoangaziwa sana huko Hong Kong. … Continue reading Kumbukumbu yangu ya Hong Kong